Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Maisha ni safari ndefu nyamaza nyamaza mwananguSasa unataka kwenda wapi zaidi , kuwa tajiri ni uwongo hata wewe sio tajiri ...Utajiri waachie ngozi nyeupe .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ni safari ndefu nyamaza nyamaza mwananguSasa unataka kwenda wapi zaidi , kuwa tajiri ni uwongo hata wewe sio tajiri ...Utajiri waachie ngozi nyeupe .
Uko sahihi bahariaCha kwanza mimba, kabla ya yote. Nawasilisha...
BiasharaKuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
Sisi sote ni wa Mungu hakika kwake tutarejea1. Kipato/ajira/biashara
2. Kuoa
3. Makazi ya kudumu
4. Kuwekeza zaidi
5. Kuwekeza kwa watoto
6. Kuishi na kufurahia maisha
7. Kufa..as in kufa.
Kiota lazima kitangulie mbele halafu hayo mazaga mengine yatafuataNyumba
Iko vizuri1. Kipato/ajira/biashara
2. Kuoa
3. Makazi ya kudumu
4. Kuwekeza zaidi
5. Kuwekeza kwa watoto
6. Kuishi na kufurahia maisha
7. Kufa..as in kufa.
Shukrani kwa mazuri ya bata🤣Jiimarishe kwanza furahia mshahara wako kula bata kwanza then anza kajumba kako ndo uoe
Makazi ya kudumu ni kaburiJenga kwanza jihakikishie makazi yako ya kudumu.
Na sisi kataa ndoa tunaanzaje ?Inategemea hiyo Kazi unapata sh ngapi
Na unategemea unataka kumiliki gari ya aina gani na kswasababu gani
Na inategemea vilevile umepata mwanamke wa aina gani.
Mambo yote hapo juu ni muhimu ikiwa tu umefanya uchambuzi wa kina
Hapa hata mimi nakazia.1.BIASHARA
2.GARI
3.NYUMBA
4.MTOTO
5.KUOA.
Imekuwa food chain hahahaNdoa→biashara→Nyumba→Gari
Ndoa ni utapeli wa waziNdoa inapigwa vita
Itabidi nianze na makazi kwanzaNdoa ni utapeli wa wazi
Daaa sasa vipi vya msingi hapo ?Makazi ya kudumu ni kaburi