Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Kwa nini kuoa kabla ya makazi kudumu.1. Kipato/ajira/biashara
2. Kuoa
3. Makazi ya kudumu
4. Kuwekeza zaidi
5. Kuwekeza kwa watoto
6. Kuishi na kufurahia maisha
7. Kufa..as in kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini kuoa kabla ya makazi kudumu.1. Kipato/ajira/biashara
2. Kuoa
3. Makazi ya kudumu
4. Kuwekeza zaidi
5. Kuwekeza kwa watoto
6. Kuishi na kufurahia maisha
7. Kufa..as in kufa.
Kutoa sadaka, unamrudishia MUNGU wako (nasema MUNGU wako, utajua ni yupi) shukrani ya kupata ajira, Sawa na wale waabudu wazimu, huwa LAZIMA warudishe sadakaKuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
Ndivyo nilivyochagua!!Kwa nini kuoa kabla ya makazi kudumu.
Unaweza kufanya yote inategemea kipato chako tu, kama unaanza na ka mshahara chini ya 2M! Inaweza ikakuchukua miaka kumi kujenga!k na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
makazi ya kudumu we ni mti.... angalau ungesema atafute rasilimali isiyohamishika ambayo itakuwa na continues flow of income.... ndio mengine ya kujenga ya kuishi au kuoa yatakapotokea...ukioa na kzi ikiharibika...ukajenga na kazi ikaharibika....tuwe na positive mindset...kuna bro wangu alifanya vyote tofauti na ushauri wangu mke kamweka home kajenga kazaa..covid hii hapa... mradi ukasitishwa....utamhurumia kashaoomba msaada mpaka sasa anaona aibu haombi tena...kazi haipatikani umri ushaenda...hajui biashara na alimpiga bit mkewe kufanya biashara...ni huruma kwa kweli..Jenga kwanza jihakikishie makazi yako ya kudumu.
Boda boda inarahisisha Maisha kwenye Kuwai😂😂Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
🙏Unaweza kufanya yote inategemea kipato chako tu, kama unaanza na ka mshahara chini ya 2M! Inaweza ikakuchukua miaka kumi kujenga!
Mi ajira ya kwanza nilianza na 300k, ilikuwa 2009,nikapiga chini baada ya mwaka, nikaingia mgodini Congo, salary 17M kwa mwezi, nilioa baada ya six month,
🤣🤣🤣Boda boda inarahisisha Maisha kwenye Kuwai😂😂
Na sisi kataa ndoa tunaanzaje ?
Kacheka ama ni moja ya usafiri unaodharaulika chief tuzingatie tusipo loa
Uko sawaKacheka ama ni moja ya usafiri unaodharaulika chief tuzingatie tusipo loa
Ni jambo zuriKutoa sadaka, unamrudishia MUNGU wako (nasema MUNGU wako, utajua ni yupi) shukrani ya kupata ajira, Sawa na wale waabudu wazimu, huwa LAZIMA warudishe sadaka
Mnipige mniue pikipiki siachi kama mtanidharau ni sawa lkn unatumia mafuta nami natumia mafuta 🤣🤣Uko sawa
Kesho tunaambiwa bahiri😂😂Mm bwana kujenga ndo lilikua swala langu no moja.Hizi dharau kanakuja katofo ka baba mwenye nyumba kanauliza hivi mjinga gani leo zamu yake kusafisha choo 🤣🤣🤣🤣dah...hapana bora nikae kwangu watoto wangu hata wakila dagaa wako kwao hata nikifa wanapakushika.