Kwema wanajukwaa?
Je ni kipi cha kuzingatia pindi unapotaka kununua gari kwa mtu? Kiufundi na masualabya kufanya muamala baina ya muuzaji na mnunuaji.
Kuna gari tulikuta limepigwa tape kwa ndani ya dashboard kuficha check engine light. Kununua kwa mbongo aisee yataka moyo kaka.
Nashkuru sana wakuu