Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu.

Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake.

Kipi kimemkuta Rais Samia?
 
Natamani kutukana Ila basi kiwete ni kiwete tu, asieweza hawezi tu
 
Manara angekuwa ni Mzanzibari naye angeombewa wakayamalize na Tiefuefu!
 
Back
Top Bottom