Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu.

Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake.

Kipi kimemkuta Rais Samia?
acha mama aupige mwingi
 
Samia alijiweka vile kuwapanga watanganyika Ili atimize jambo lake ovu

Hana wema wowote


Msipoamka watanganyika mtauzwa kwa waarabu
 
Back
Top Bottom