Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu.
Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake.