Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

Huyu hata akitoa hotuba zake utajua ni roboti tu anasoma kutoka script au hotuba iliyoandaliwa. Bora Magu alikuwa anakupa za moyoni za hapo kwa hapo.
 
Kilichompata ni kwamba sasa hivi anaendeshwa kwa remote control kutoka pale Msoga
 
Rimoti ka wapitapita umu isamehe tanganyika na watu wake tunakuomba
 
Vilinge..cycles !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALikuwa anapoteza maboya ni zile Milioni Tano.

Kuwaita yanga IKULU.

Kusolve kesi ya FEISAL


YOTE HAYA yalikuwa yamepangwa yamepangiliwa.

TUNATAKA BANDARI YETU.
SH3NZI KABISA.
 
Rais mzanzibar na wazir wa uchukuz mzanzibar na bandar zilizopigwa kiberit na za Tanganyika. Hatari kweli kweli.
 
Nchi yetu inapotezwa hivi hivi. Usalama wa Taifa usaidie nchi yetu
 
Huyu Rais hatufai hata kidogo.

Hiyo nafasi haiwezi na bado anataka 2025 aendelee kuharibu hii nchi.

Inasikitisha mno namna hili Taifa linavyoharibika yeye akiwa kiongozi.
 
The biggest mistake that Tanzania has ever made is to have a veteran NGO employee as it's President and especially a woman.What is our problem,don't we really know that NGOs are foreign policy tools for capitalists?Don't we really know that NGOs are state capture tools?Really?Don't we know that women by their nature are easy to manipulate just as Eve was by the Serpent at the Garden of Eden?Man of Tanzania, I pity you so much.

If God did not choose a woman to be the head of a single family,how dare you rejoice and accept a woman to be the head of 8 +million families?Something is seriously wrong with man of Tanzania and Tanzanians.So whatever happens to this beautiful country of ours,we Tanzanians,and especially man of Tanzania are responsible.The NWO Cabal worked tirelessly to get the opportunity of having a woman in power in Tanzania,since they now have it,Tanzanians and especially man, will be screwed hard.Watch out man of Tanzania,the worst is yet to come.Bad luck indeed for Tanzania.
 
Huyu mama hakai ofisini na kufikiri.
Kila siku anaongea na kuhutubia mambo bila kuwa na mtaji wa kufikiri na kuekewa situations.
Bandari itamwondoa.
 
Hao ndivyo walivyo. Ni wa hovyo na wanaabudia waarabu kwa vile ni watumwa wao. Nadhani nyuma ya yote kuna Kikwekwe na genge lake
 
KIA nayo nasikia imekwenda na maji.
 
Ndio kulewa madaraka huko.
 
Lini alianza kwenda vizuri?
 

Never underestimate the power of $. Ukizingaji kuwa ni mzanzibar, hana uchungu kuiuza Bara.
Kama ameanza ufisadi awamu hii, je awamu ya pili atakuwaje?
Watanzania tuamke
 
ndo uzuri au ubaya wa rais husababishwa na waliomzunguka

Malengo Yao ni kumdondosha au kumsimamisha

Hatuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…