Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Wakuu hivi hii hali inaelekea wapi? Kulingana na bei mpya kuna baadhi ya mikoa lita ya petrol imefika 2480. Ni kweli huko duniani mafuta yamepanda au hapa kwetu tu tunakomoana.
Je, ni halali nauli kuendelea kubaki pale pale? Au tutegemee ongezeko huko mbeleni?
Huko tunakoenda nadhan kuna watu wataenda kupaki magari yao, mimi leo 20k nimeambulia lita 8 na point nikabaki nashangaa kumbe bei zishapaa.