Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

Alaf wabunge wamekaa tu hawalizungumziii hili swala
 
Cha ajabu inasemekana bei za mafuta Burundi na Rwanda zipo chini lakini mafuta yao hupitia hapa hapa bandarini Dar es salam
Stock yao ikiisha,wakiagiza mapya lazimacwatapandisha bei hii issue ni ya kimataifa siyo hapa tu.
 
Wakuu hivi hii hali inaelekea wapi? Kulingana na bei mpya kuna baadhi ya mikoa lita ya petrol imefika 2480. Ni kweli huko duniani mafuta yamepanda au hapa kwetu tu tunakomoana.

Je, ni halali nauli kuendelea kubaki pale pale? Au tutegemee ongezeko huko mbeleni?

Huko tunakoenda nadhan kuna watu wataenda kupaki magari yao, mimi leo 20k nimeambulia lita 8 na point nikabak nashangaa kumbe bei zishapaa.
Wizi wa mafuta Kigamboni maana bei hutegemea gharama za manunuzi ikilinganishwa na kiasi cha mafuta yaliyopo
 
Yuko uchumi wa kati,ndiyo maana Bei zinaendelea kupanda,

Sisi ni matajiri,tutembee kifua mbele.
 
Cha ajabu inasemekana bei za mafuta Burundi na Rwanda zipo chini lakini mafuta yao hupitia hapa hapa bandarini Dar es salam
Usidanganywe na story za mitaani....

Waulize hao Warwanda uone kama hawanunui kwa 3000
 
Cha ajabu inasemekana bei za mafuta Burundi na Rwanda zipo chini lakini mafuta yao hupitia hapa hapa bandarini Dar es salam
Si kweli ! huu ni uongo tuliaminishwa Rwanda na burundi mafuta yapo juu kuliko kwetu..
 
Usidanganywe na story za mitaani....

Waulize hao Warwanda uone kama hawanunui kwa 3000
Acha uongo Kule Burundi Mafuta Bei ni Nafuu kabisa kuliko Tanzania
 
Bei ya mafuta ya kwetu imebeba kodi kibao, hata road license iko humo humo.
Ndio maana bei iko juu tofauti na hao wenzetu.
Pamoja na makodi kibao , mafuta yetu bado ni rahisi kuliko rwanda.
 
Usidanganywe na story za mitaani....

Waulize hao Warwanda uone kama hawanunui kwa 3000
Na hiyo ni kigali mjini , ukishuka kule chini bugarana na rusizi bei ya mafuta ni kichefu chefu
 
Mawaziri na wabunge Wana vituo vya kuuzia mafuta unategemea atakayetoa hoja ya kupunguza Bei Ni Nani?
Enzi za mwalimu au hata Mwinyi hakukua na waziri mwenye kituo Cha kuuzia mafuta.
Huyu "tumehamuka" Ni dhahir anavyo vituo
 
Back
Top Bottom