Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

Tulistick kwenye 2309 kwa muda mrefu sana, sasa naona imefika 2310 na kila siku point zinapanda
Itakaa sawa. Ila kwa sisi importers cha moto tunakiona.
 
Na hiyo ni kigali mjini , ukishuka kule chini bugarana na rusizi bei ya mafuta ni kichefu chefu
Zambia hapo tu bei ni balaa, tatizo la Watz wengi kusoma wanajua ila hawaelewi
 
Mawaziri na wabunge Wana vituo vya kuuzia mafuta unategemea atakayetoa hoja ya kupunguza Bei Ni Nani?
Enzi za mwalimu au hata Mwinyi hakukua na waziri mwenye kituo Cha kuuzia mafuta.
Huyu "tumehamuka" Ni dhahir anavyo vituo
Wapunguze bei kwani wao ndio wanachimba mafuta?
 
Kiuhalisia bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepanda.

Sasa hivi pipa moja linauzwa $70 wakati wa corona pipa hilohilo lilifika mpaka $15.

Bei itaendelea kupanda mpaka pipa litafika $100.

Na msisahau Tz hamunui kwa mzalishaji moja kwa moja. Ananunua kwa madalali.

Mjiandae.
 
Back
Top Bottom