Upuuzi wa hali ya juu. Kwa hiyo magufuli ndo mwenye uwezo wa kufanya mafuta yasipande bei?Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi . Serikali isipo angali Jambo hili tunaelekea kusiko julikana .
Upuuzi wa hali ya juu,Kwa hiyo magufuli ndo mwenye uwezo wa kufanya mafuta yasipande bei? wasukuma bana
hujielewiChadema watabisha
Ha ha kweli aisee!gari ni zaidi ya mchepuko
Kazi iendeleeWakuu hivi hii hali inaelekea wapi? Kulingana na bei mpya kuna baadhi ya mikoa lita ya petrol imefika 2480. Ni kweli huko duniani mafuta yamepanda au hapa kwetu tu tunakomoana.
Je ni halali nauli kuendelea kubaki pale pale? Au tutegemee ongezeko huko mbeleni.
Huko tunakoenda nadhan kuna watu wataenda kupaki magari yao, mimi leo 20k nimeambulia lita 8 na point nikabak nashangaa kumbe bei zishapaa.
Mafuta yamepanda bei miezi mitatu mfululizo. Tutaelewana tu.Wakuu hivi hii hali inaelekea wapi? Kulingana na bei mpya kuna baadhi ya mikoa lita ya petrol imefika 2480. Ni kweli huko duniani mafuta yamepanda au hapa kwetu tu tunakomoana.
Je ni halali nauli kuendelea kubaki pale pale? Au tutegemee ongezeko huko mbeleni.
Huko tunakoenda nadhan kuna watu wataenda kupaki magari yao, mimi leo 20k nimeambulia lita 8 na point nikabak nashangaa kumbe bei zishapaa.
Watu tunasahau haraka cjui kwann, mkumbushe na bei za bati, nondo, saruji na mbao wakati wa awamu ya tano hali ilivyokua tete na bado haijatengamaa japo mshumaa umeanza kutoa mwanga.Wakati kipindi Cha Mwendazake,Sukari ilipanda toka elfu moja mpaka 3600.
Mafuta ya kula toka tsh. 31000 kwa Lita 10 mpaka 45,000
Kweli kazi inaendeleaMafuta yamepanda bei miezi mitatu mfululizo. Tutaelewana tu.
#KaziNaIendelee
Mafuta yamepanda bei miezi mitatu mfululizo. Tutaelewana tu.
#KaziNaIendelee
Wa mbili wa mbili tuNa nilivyo mbishi, sighairishi tripu nilizojipangia mwaka huu.
Bora nipunguze kununua vitu vingine ila wese liko palepale...😜
Ikifika December $1=Tzs 3,000 Lita moja 3,000Dollar nayo imeanza kupanda mdogo mdogo
Ni neema kwa baadhi ya watuDollar nayo imeanza kupanda mdogo mdogo
Wa mbili wa mbili tu