Kambulanga
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 261
- 97
Mafuta kupanda bei tutamkumbuka mwendakuzimu, ila mchele kushuka bei hadi kilo 1 per 5OO tutamkumbuka nani?
Wachaga banaUpuuzi wa hali ya juu,Kwa hiyo magufuli ndo mwenye uwezo wa kufanya mafuta yasipande bei? wasukuma bana
Niletee kilo Mia nanunua kwa 800 kiloCovid 19
Dogo ukipata ajira na kuwa na majukumu/famila ndio utajua mambo ya mfumuko wa bei sio siasa na sababu sio marehemu.Unalinganisha kupanda Kwa bei za mafuta ya petrol na kupanda Kwa mafuta ya Kula na sukari mkuu?
90
90's
Afadhali kama wameanza hata kulijadiliWabunge si waliliongelea jana hili; wanasema ile kampuni yetu ya kunua mafuta kwa wingi, kila ikitangaza tenda, kampuni zinazojitokeza ku-bid ni mbili tu. Hata wao wanashangaa; kwa nini kampuni mbili tu ndio zinajitokeza ku-bid; na sio zaidi?
Acha unafiki mbona hiyo bei ni ya kawaida sana
Shi ngapi?
Wese ni kama bundle/muda wa naongezi lazima liwepo tu kwenye simu
Ngoja tusubiri mafuta ya kula kutoka KEHapa ndio wamegusa kwenye mfupa kabisa, na mama sijasikia kabisa analiongelea hili.....mafuta lita tano elfu 35? haijawahi kutokea hii
Almost nchi zote duniani zina reserve ya USD.Hivi wajua Tz haichimbi mafuta wala haina umiliki wa US Dollar?
Sawa na wewe uende kwa Azam utake kununue carton 2 za juice. Wakati yeye anamuuzia agent wake carton 10,000 kwa siku. Hawezi kufanya biashara na wewe hata iweje. Atataka ukanunue kwa agent.Hivi kwa nini Serekali linapokuja swala la manunuzi lazima awepe dalali!? Kwa nini wasiende wenyewe direct kwa mzalishaji Mkuu,wakaa mezani nae!!
Mtaji mzee.Wabunge si waliliongelea jana hili; wanasema ile kampuni yetu ya kunua mafuta kwa wingi, kila ikitangaza tenda, kampuni zinazojitokeza ku-bid ni mbili tu. Hata wao wanashangaa; kwa nini kampuni mbili tu ndio zinajitokeza ku-bid; na sio zaidi?
Hii ndio faida ya stimulus package ya dollar trillion 2Dollar inasumbua dunia nzima huko SA ilikua $1 =15rand sasa hivi imekomaa mpaka rand 12 siku ingine rand 13 kwa dollar moja mafuta na wao wanatengeneza mengine kwa kutumia makaa ya mawe yamepanda mara mbili zaidi mpaka sisi wanunua bidhaa huko imetutingisha kidogo swala la dollar na mafuta ni mfumuko wa Dunia sio Bongo tuu..
Hao ni wale wauza mafuta wa usiku vituo vyote vimefungwa. Huku nilipo ikifika 12 jioni mafuta ni 3000 lita hutaki achaUkiangia.bandiko la.ewura bei ya juu ni sh.2400 hiyo 2600 umeitoa wapi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
We jamaa ni msomi, Umekaa Ulaya muda kwani washindwa google kujua bei ya mafuta kipindi cha nyuma na kipindi cha hiyo miezi 3?Mafuta yamepanda bei miezi mitatu mfululizo. Tutaelewana tu.
#KaziNaIendelee
Acha uongo kadri unavyotoka bandarini ndio bei huongezeka kutokana na gharama za usafiriTunduma/nakonde
Kwani serikali iliwahi kupunguza bei ya mafuta au soko la dunia ndio lina dictate hali? au enzi za Magufuli serikali ilikuwa inatoa ruzuku kwa mashirika ya mafutaHuko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.