hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 1,029
- 2,243
None of the above
Ila
Ndugu jamani ndugu, punguzeni mizinga mtaniuaaaaa
Ila
Ndugu jamani ndugu, punguzeni mizinga mtaniuaaaaa
Sio kila comment iendane na mada 😂Uzi ndio umesema hivo😃
Oya Jombis mimi nina heshima kubwa Jf mpaka Melo ananiheshimu sana hivyo siwezi kuwa kwenye list ya wapuuzi uliowataja hapo juu hao hawaendani na mimiadriz ana akaunti nyingi , kuna ile ya ghayo, mara anajifanya haszu, mara anabelle, kuna ile ya mafwel pia ni yake , they are more
Nafikir huu ndio uraibu mmbaya kuliko kamali na ngono.
MSaidieni dogo akili yake inatengeneza mapicha picha
He is either delusional or confused
Kura moja ilipaswa kuwa ALL OF THE ABOVE.Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
Kama mlichofanya kwenye uzi wa emoji wewe na secretarybird 😃Sio kila comment iendane na mada 😂
Mwambie kabisaPale kwenye mademu/ngono ondoa neno 'Zinaa' usitake kuonesha ngono ni kitu kibaya!
Nimeliwa hela sana premier bet na makampuni kibao ya betting😂 bado tu kuzikwa nayoKamari imenifilisa haswa huyu mhindi wa meridian,amenichomoa mapene hadi nikaacha mazim.Bora hata mademu kuliko kamari maana gemu unaweza pata.lakn kamari hamna lolote ni utopolo.
Nyota ikibebwa unaweza hadi kufa hamna utachokifanya kikafanikiwa. Mbele kiza😃ķwa umri wangu napambana kulinda nyota mkuu nyota ikibebwa na kina mshana balaa hasa ujanani hutoboi
uzeen kidogo wanakutesa lwa mda wanakurejeshea
😆 what time is makngability