Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

  • Pombe

    Votes: 8 28.6%
  • Kamari

    Votes: 4 14.3%
  • Mademu&ngono zinaa

    Votes: 14 50.0%
  • Fasion simu nguo salon

    Votes: 2 7.1%

  • Total voters
    28
Oya Jombis mimi nina heshima kubwa Jf mpaka Melo ananiheshimu sana hivyo siwezi kuwa kwenye list ya wapuuzi uliowataja hapo juu hao hawaendani na mimi
 
ķwa umri wangu napambana kulinda nyota mkuu nyota ikibebwa na kina mshana balaa hasa ujanani hutoboi
uzeen kidogo wanakutesa lwa mda wanakurejeshea

😆 what
time is makngability
 
Kamari imenifilisa haswa huyu mhindi wa meridian,amenichomoa mapene hadi nikaacha mazim.Bora hata mademu kuliko kamari maana gemu unaweza pata.lakn kamari hamna lolote ni utopolo.
 
Kamari imenifilisa haswa huyu mhindi wa meridian,amenichomoa mapene hadi nikaacha mazim.Bora hata mademu kuliko kamari maana gemu unaweza pata.lakn kamari hamna lolote ni utopolo.
Nimeliwa hela sana premier bet na makampuni kibao ya betting😂 bado tu kuzikwa nayo
 
ķwa umri wangu napambana kulinda nyota mkuu nyota ikibebwa na kina mshana balaa hasa ujanani hutoboi
uzeen kidogo wanakutesa lwa mda wanakurejeshea

😆 what
time is makngability
Nyota ikibebwa unaweza hadi kufa hamna utachokifanya kikafanikiwa. Mbele kiza😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…