Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia.
👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea kumpa sifa au kuuonyesha ubora wake.
👉 Nimejiuliza kipi kinachomfanya asiendelee kuwika katika zama hizi za streams? Maana wenzie kama Nandy, Zuchu, Maua Sama na sasa Phina wanazidi kumuacha mbali.
Boomplay streams;
~ Nandy 50M+
~ Zuchu 50M+
~ Sama 25M+
~ Ruby 5M🙉
Je shida au tatizo ni Menejimenti mbovu, nidhamu mbovu, au kakosa vichwa vyenye madini kama kina Ruge?