Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ruby aligombana na mawingu ndio waka m'boost mchumba wa ruge Nandy" alisikika mpita njia
KweliMuziki kwa watoto Wa kike unachangamoto Sana. Wanalazimika kutumika kibaba na mama ndio promo iwepo. Sasa Ruby Hana trakoo, mabraza wanaona hailipi. Pili huyu Dada Alisha kuwa labeled kama mkorofi, Hana nidhamu, jeuri, kibri, mshari na mwenye kuparamia yeyote kwa kifujo. Kupitia hivyo anakosa endorsement
Anagoma kutoa mbususuWadau wameshasema kinachomponza Ruby ni jeuri na majivuno.
Tatizo kajeuri, na hicho kidomo sasa, wanaokojolea hapa wana mioyo ya mawe
OiiiiRuby anaponzwa na dharau,majivuno,kiburi,kujiamini kulikopitiliza,sifa na kujitenga..
Hakuna management itaweka hela kwa ruby,kana kiburi sana.
Yani ruby na baraka da prince hawatakuja sainiwa kwenye lebo yoyote ile hapa africa...