Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

Hivi hakakujihusisha na madawa ya kulevya kweli hapa juzikati aliisha kale ka mwili uwiiii!!
 
Ruby anaponzwa na dharau,majivuno,kiburi,kujiamini kulikopitiliza,sifa na kujitenga..
Hakuna management itaweka hela kwa ruby,kana kiburi sana.

Yani ruby na baraka da prince hawatakuja sainiwa kwenye lebo yoyote ile hapa africa...
Km ananyonywaa akubaliii tyuuh?? Acheni nongwaa waja khaaaaah.
 
Hivi hakakujihusisha na madawa ya kulevya kweli hapa juzikati aliisha kale ka mwili uwiiii!!
Shouzzz nawee mpana hiviiii?? Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ruby hana team ya watu wanaojua mziki.

Wasanii wa kike wengi sio wazuri kwenye kutunga nyimbo, kupanga melody. Na kujua biti gani ni sahihi kwao kutengeneza hit songs.

Zuchu anafanya vizuri sababu kuna watu wanamsaidia hivo vitu vitatu na wanamuongoza

Nandy nae vile vile. Watu wanamponda billnass kwamba mario. Ila billnass anamsaidia sana nandy kwenye uandishi plus timu ya kina kimambo, abba.
Nandy beat anabuniwa kwanza na ikiwa kali anafatwa na kuambiwa hii biti ni sahihi kwako inabidi itungiwe nyimbo.
Billnass anamsaidia kutunga then ndio wimbo unarekodiwa na kutoka.

Ruby hana watu wa kumsaidia hayo mambo.

Ruby alitamba enzi za THT sababu kina barnaba , emmma the boy,
na ruge walikuwepo kumsaidia.

Mfano hamissa mobetto sio muimbaji wala hajui sana muziki. Ila tazama alivyopita kwenye wimbo wa singeli X wangu. Sababu alifanyiwa kila kitu. Ikatoka hit song
 
Ndo aige had swaggerz? Insta walimuambia ukweli haelewi, na anasema wazi kelele yee haelewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bella ft Phina–Natamani

King of melody meets Queen of best sound 🔥🔥🔥

 
Phina huyu anayetaka kujionesha ni Vanessa wa pili? Atafeli pakubwaa, apite njia yake ntakua upande wake.

Phina anajitahidi. Nina imani ana team nzuri atafika mbali.

Mziki wa bongo fleva ni mwepesi sana kwa msanii wa kike mwenye sauti nzuri.
Kisha awe na timu ya watu wanaojua mziki.

Hata ukimchukua muimba kwaya wa kike kanisani mwenye sauti nzuri. Kisha ukampa timu nzuri nyuma yake kama ya zuchu wcb anafika mbali.
 
Km ananyonywaa akubaliii tyuuh?? Acheni nongwaa waja khaaaaah.
Hakuna mafanikio yanakuja kirahisi,amekataa kunyonywa ameamua kumnyonyesha mwanae nyumbani...

Kipaji bila mtaji ni hasara tu,lazima ujiweke mikononi mwa watu nao waweke hela zao kwenye kipaji chako then mgawane nusunusu..
 
Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia.

👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea kumpa sifa au kuuonyesha ubora wake.
👉 Nimejiuliza kipi kinachomfanya asiendelee kuwika katika zama hizi za streams? Maana wenzie kama Nandy, Zuchu, Maua Sama na sasa Phina wanazidi kumuacha mbali.

Boomplay streams;
~ Nandy 50M+
~ Zuchu 50M+
~ Sama 25M+
~ Ruby 5M🙉

Je shida au tatizo ni Menejimenti mbovu, nidhamu mbovu, au kakosa vichwa vyenye madini kama kina Ruge?

View attachment 2565857

View attachment 2565858

View: https://fb.watch/n5fWEklRds/
 
Back
Top Bottom