Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

Inawezekana management ina muangusha ila hyo dada ni jeuri sio mchezo anaringa kweli kweli.
 
Ruby anaponzwa na dharau,majivuno,kiburi,kujiamini kulikopitiliza,sifa na kujitenga..
Hakuna management itaweka hela kwa ruby,kana kiburi sana.

Yani ruby na baraka da prince hawatakuja sainiwa kwenye lebo yoyote ile hapa africa...
Hakika.. kama wao wenyewe (ruby & barakah) waliwekeana ujeuri ku-shoot video ya NIVUMILIE ujue sio poa
 
Ruby anaponzwa na dharau,majivuno,kiburi,kujiamini kulikopitiliza,sifa na kujitenga..
Hakuna management itaweka hela kwa ruby,kana kiburi sana.

Yani ruby na baraka da prince hawatakuja sainiwa kwenye lebo yoyote ile hapa africa...
Hlf ni wana vipaji haswa ila jeuri zao zinawaponza
 
Ruby anaponzwa na dharau,majivuno,kiburi,kujiamini kulikopitiliza,sifa na kujitenga..
Hakuna management itaweka hela kwa ruby,kana kiburi sana.

Yani ruby na baraka da prince hawatakuja sainiwa kwenye lebo yoyote ile hapa africa...
Umemaliza...na bangi anazovuta
 
Kujua kuimba kwa maana ya kuwa na kipaji kikubwa na kujua kuufanya muziki kimafanikio ni vitu viwili tofauti

Ruby anajua sana kuimba lakini hajui kufanya muziki kibiashara
Anatajwa kuwa ni mtata sana kinidhamu kiasi kwamba inakua ngumu wadau sahihi kusimamia kazi zake zifike mbali
 
Ruby anaponzwa na dharau,majivuno,kiburi,kujiamini kulikopitiliza,sifa na kujitenga..
Hakuna management itaweka hela kwa ruby,kana kiburi sana.

Yani ruby na baraka da prince hawatakuja sainiwa kwenye lebo yoyote ile hapa africa...
Unatoa laana Mkuu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Hakika, aongeze ubunifu, ajenge brand yake, awe na managament nzuri, ashiriki kwenye shughuli za kijamii, aendelee kujifunza...
 
Kuna wimbo wametoa juzi juzi hapa na Otile Brown unaitwa One Call Away, mkali sana aiseee. Namkubali sana huyu binti ila shida nafikiri ni nyota.
 
Back
Top Bottom