Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Photoshop imehusika, ukiwaona wakati wanatoka kuamka utakimbia

You are just dumb!!!
chid3.jpg

MG_9762.jpg
T4C4172.jpg
T4C1711.jpg
T4C3285.jpg
R28A7517.jpg
T4C9688.jpg
 
Wa dada wa bongo tungepata hard time kenya coz kule wapo so agressive while wadada wa kenya najua mwisho wa siku wangegoma kurudi kwao coz our man are humble

Kenyan men aggressiveness yetu huwa tu wakati wa kusaka hela lakini tukifika Bongo huwa tunatuliza kasi kidogo ili ku-fit in the society, hivyo usihofie sana. Kwanza watoto wa Tanga huniacha hoi kwa jinsi wanaongea Kiswahili kwa lafudhi yenye mahaba aisei. Dah! kwanza pale DoubleTree afu kwa mbali jua linatua ama Kigamboni usiku kwenye beach...... Bongo ina utamu kiaina.
 
Hee kumbe mnaweza kuwa loyal eeh...hahaha, nikaribishe mombasa basi
 
You are just dumb!!!
chid3.jpg

MG_9762.jpg
T4C4172.jpg
T4C1711.jpg
T4C3285.jpg
R28A7517.jpg
T4C9688.jpg

Hivi nyie macho yenu mabovu aiseee Tyta hebu njoo tusaidiee basiii kuweka picha za warembo wa bongo darisalama ,Arusha, Mwanza,na kwingine hebu wekaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hizo picha kwao ndio celebrities ambao kwa kiwango cha huku kwetu bongo ndio watoto tandale na manzese!!!
 
mmmhhh!wabongo tupo juu
kadoda11 kuanzia muonekano
mpaka kila kitu acha wakenya wajipe moyo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi habida na avril bado wako single?

Mmoja wao angenifaa sana kwa mwezi huu wa ajali! Lol
 
Asee kwnza tungepigwaje na hao wakenya asee. Na kma ukimzidi nguvu anatoka spidi knoma,huez mkamata.mi ngelihamia kenya asee tena ngelienda ishi mombasa.
 
Mngenyooka pia mngeacha tabia zenu za kipakashume za kumega mega ovyo
 
Back
Top Bottom