Who is Mungu?
unaposema kitabu cha Mungu, eleza Mungu yupi?, maana dunia ina Miungu wengi, na kila Mungu ni sahihi kwa kile alichowashushia watu wa jamii yake.
mfano Allah kwa wanaomfuata ni sahihi kwao ndiomaana wanatumia Qur'an kama kitabu sahihi, na kweli wanaendana nae.
na wakristo hutumia biblia kwa Miungu yao ambayo imejificha ktk majina mengi tofauti tofauti na pia ktk Uungu utatu, Mwana, Roho, Baba, hawa ni viumbe 3 tofaut, pia Yehova, yesu, yahwe, elishadai, elohim ni viumbe wengine tofaut.
the same kwa wahindi na wabudha kwao kutumia vitabu vyao vya imani ni sahihi, sas ugomv unakuja pale muumini wa imani fulan kuforce mwngine asiyeamn imani yako kuwa ni muongo, hapa mnakosea, maana ninyi nyote mko ktk kweli kwa mienendo ya imani zenu.
na wale wasio amini dini wala imani yoyote wako sahihi maana wao wanaishi ktk uhalisia usiohitaji janja janja wala fikra zisizo na ushahidi wa kuelezea jambo lisilokuwepo lionekane lipo kisa imani imelazimisha liwe hivyo.
kiujumla Miungu wote ni sawa, isipokuwa wanatofautiana Nguvu za ushawishi kwa wanadamu kuwafuata na Nguvu za kutenda Kaz kwa waumini.
Miungu hao wote hawana sehemu ya kukuhifadhi wew mtu unapokufa kwa maana miungu hao nao wana mwanzo wao ambao wameupata hapa hapa dunian, na maisha yao ni hapa hapa dunian isipokuwa hawaonekan ktk macho ya ubinadamu, na wamejijengea kingdoms wanazoziita mbingu, ambapo huzitumia kuwahadaa wanadamu kupitia maono na ndoto wakiwaingiza watu ktk kingdoms hzo na kuwaaminisha ndio mbingu ambazo mtu akifa ataishi hapo ama jehanamu ya moto.
kiuhalisia wote mnaoamni dini hamna tofaut na wale wanaoabudu dini za asili ama mashetan na walozi, isipokuwa wao hujua direct wanachokiabudu, maana wanaonana nacho, lkn ninyi wafia dini hamuvijui mnavyoviabudu kwakuwa vimewaficha na kuwaaminisha mviabudu kwa imani tu bila kuviona.
Amkeni hizo dini zenu mnapoteza muda bure.