Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Vitabu ni vi4HAbari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili.
Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU CHA MUNGU na kinaongoza watu kwenda mbinguni na pia Qur' an ni KITABU chuamungu na kinaongoza watu kwenda mbinguni.
Chamsingi ni hoja za nguvu ili muthibitisha vitabu vyetu hivi.
Angalizo
Hoja zitawale zaidi kuthibitisha,na sio matusi na dhihaka.
Taurat- Mussa a.s
Zaburi- Daud A.s
Injili- Issa Bin Maryam
Qur' an - Muhammad (s.a.w)
Hapo nahisi ushapata jibu lako