mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Biblia imekamilika miaka 500 kabla ya ujio wa Muhamad (qur,aan)Wakiristo nyiyi maneno mengi mnayo yatumia kwenye ukirito wenu amjui maana yake sababu yametoka kwenye qur,aan yakatiwa kwenye kitabu chenu mfano majini nabii injili ibada sadaq zaka sala kusali hijja sheitani ibirisi a,adamu nk mfano neno sheitani ukitafuta maana yandani kabisa mtalikataa kwenye kitabu chenu
Nifafanulie kidogo biblia imecopy vp kitu ambacho kilikuwa hakipo?