Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hapa ndio umeonesha wazi zaidi, uthman ameandika quran 650AD lakini hizo manuscripts zinaonesha kuandikwa kati ya 568 na 645AD na muhammad kapata maono 610 mpaka 632AD.Naona hilo swala la Birmingham umelikazania kweli , unajua kuwa Qur'an ilikuwa wakati mwingi ilikuwa inashuka kutokana na matukio ? sasa hiyo ya huko ilijuaje matukio yatakayotokea baadae tena mengine ikihusu watu na kutaja majina kabisa ?mfano Abu Lahab ,Zayd ambao walikuwepo wakati wa Mtume Muhammad SwallaAllahu'aleyhi wa salaam .
Mimi nimesoma kitabu cha historia ya Qu'ran na kueleza kila kitu hadi zilikohifadhiwa baadhi maandiko ya na zilifika vipi.
Mbona hizo taarifa unazo pekee yako na hizi taarifa official kutoka Birmingham University hakuna iliposemwa inaonyesha umeandika kabla ya Jibril ('Aleyhisssalaam) kushusha wahyi wa Qu'ran ?View attachment 2380075View attachment 2380078View attachment 2380078
Tatizo historia hausomi na hata ukisoma basi unachukua juu juu kwanza elewa hiyo iliopo uingereza sizani kama inafika hata page kumi ni viande tu ikiwa na baadhi ya aya za sura tena sura mbili.Tena hapa ndio umeonesha wazi zaidi, uthman ameandika quran 650AD lakini hizo manuscripts zinaonesha kuandikwa kati ya 568 na 645AD na muhammad kapata maono 610 mpaka 632AD.
Mpaka hapo huoni kwamba hizo document zilikuwepo kabla ya hizo za uthman? Hasa ukizingatia kwamba kipindi muhammad yupo quran ilikuwa ipo kwa kukariri tu.
Hapo Quran 3:3 sijaelewa kabisa. Sijui kama Kuna vitu vilikuwepo kabla ya Mungu. Na kama vilikuwepo nani kaviumbaKatika Uislamu tumefundishwa kwamba Mwenyezi Mungu ameteremsha vitabu vinne (4) ambavo ni
i) Taurati aliyopewa Nabii Musa (A.S)
ii) Zaburi alipewa Nabii Daudi (AS)
iii) Injili aliyopewa Nabii Issa (AS)
iv) Quran aliyopewa Nabii Muhammad (S.AW)
Kila muislamu ni lazima aamini Mitume waliokuja zamani pamoja na vitabu vyao bila kubagua hata mmoja kati yao.
QURAN 3:2-4
2. Mwenyezi Mungu, hakuna Mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele.
3. Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho thibitisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili
4. Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Quran . Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa. '
QURAN 4: 136
136. Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya mwisho, basi huyo amekwisha potelea mbali. 136
QURAN 3; 84
84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haka na Yakubu na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
Ila sasa sisi wanaadamu tuliingia na kuharibu vitabu vya Mwenyezi Mungu na kutoa baadhi ya maneno na kuweka ya kwetu.
QURAN 11:110
![]()
110. Na kwa yakini tulimpa Musa Kitabu; kikatiwa hitilafu ndani yake. Na lau kuwa si neno lilio kwisha tangulia kutoka kwa Mola wako Mlezi, (kuwa ipo siku maalumu ya hukumu) bila ya shaka ingeli hukumiwa baina yao (sasa hivi). Na hakika wao wamo katika shaka juu yake inayo wahangaisha.'
NB: Kama Taurati, Zaburi na Injili visingekuwa vimetiwa mikono na waandishi na kubadilishwa maana zake basi visingekuwa na tofauti yeyote na Quran, kwa sababu Mwenyezi Mungu huyo huyo mmoja ndio kateremsha vitabu vyote hivyo.
Ushauri wa bure tu; kwa kuwa wewe unataka kujifunza, basi soma vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu usibague chochote, na muombe Mwenyezi Mungu akuongoze katika njia iliyo sawa.
Na kweli hujaelewa.Hapo Quran 3:3 sijaelewa kabisa. Sijui kama Kuna vitu vilikuwepo kabla ya Mungu. Na kama vilikuwepo nani kaviumba
Naunga mkono hoja MkuuQuran ni copy ya Bible. Biblia ni kitabu cha zamani zaidi kuliko Qur'an.
Yehova na Allah ni vitu viwili you tofauti kabisa.
Jehova aliumba mtu kwa mfano wake. Allah hafanani na kiumbe chochote.
Jehova ana mwana wake wa pekee, Yesu Kristo. Allah hakuzaa wala hakuzaliwa.
Hata huko wanakoishi ni sehemu mbili tofauti kabisa.
Allah anakaa peponi, Jehovah anakaa mbinguni.
Mbinguni ni kusifu na kuabudu tu, peponi unapewa wanawake mabikira 72.
Mbinguni hamna kuoa wala kuolewa. Peponi kuna mito ya pombe tamu
View attachment 2376837
(Hebu tuwekee hapa Paragraph moja tu ya Torati na moja ya InjiriNa kweli hujaelewa.
Ni kabla yake hicho Kitabu (Qur'an).
Au labda Tarjama ya Kiingereza ndio utaelewa.
نَزَّلَ عَلَيْكَ ٱلْكِتَـٰبَ بِٱلْحَقِّ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَأَنزَلَ ٱلتَّوْرَىٰةَ وَٱلْإِنجِيلَ
Nazzala ‘alaikal Kitaaba bilhaqqi musaddiqal limaa baina yadaihi wa anzalat Tawraata wal Injeel
He has sent down upon you, [O Muhammad], the Book in truth, confirming what was before it. And He revealed the Torah and the Gospel. (Qur'an 3:3)
Umeelewa sasa? Maana Kiswahili huenda ni kigumu.
NduguWho is Mungu?
unaposema kitabu cha Mungu, eleza Mungu yupi?, maana dunia ina Miungu wengi, na kila Mungu ni sahihi kwa kile alichowashushia watu wa jamii yake.
mfano Allah kwa wanaomfuata ni sahihi kwao ndiomaana wanatumia Qur'an kama kitabu sahihi, na kweli wanaendana nae.
na wakristo hutumia biblia kwa Miungu yao ambayo imejificha ktk majina mengi tofauti tofauti na pia ktk Uungu utatu, Mwana, Roho, Baba, hawa ni viumbe 3 tofaut, pia Yehova, yesu, yahwe, elishadai, elohim ni viumbe wengine tofaut.
the same kwa wahindi na wabudha kwao kutumia vitabu vyao vya imani ni sahihi, sas ugomv unakuja pale muumini wa imani fulan kuforce mwngine asiyeamn imani yako kuwa ni muongo, hapa mnakosea, maana ninyi nyote mko ktk kweli kwa mienendo ya imani zenu.
na wale wasio amini dini wala imani yoyote wako sahihi maana wao wanaishi ktk uhalisia usiohitaji janja janja wala fikra zisizo na ushahidi wa kuelezea jambo lisilokuwepo lionekane lipo kisa imani imelazimisha liwe hivyo.
kiujumla Miungu wote ni sawa, isipokuwa wanatofautiana Nguvu za ushawishi kwa wanadamu kuwafuata na Nguvu za kutenda Kaz kwa waumini.
Miungu hao wote hawana sehemu ya kukuhifadhi wew mtu unapokufa kwa maana miungu hao nao wana mwanzo wao ambao wameupata hapa hapa dunian, na maisha yao ni hapa hapa dunian isipokuwa hawaonekan ktk macho ya ubinadamu, na wamejijengea kingdoms wanazoziita mbingu, ambapo huzitumia kuwahadaa wanadamu kupitia maono na ndoto wakiwaingiza watu ktk kingdoms hzo na kuwaaminisha ndio mbingu ambazo mtu akifa ataishi hapo ama jehanamu ya moto.
kiuhalisia wote mnaoamni dini hamna tofaut na wale wanaoabudu dini za asili ama mashetan na walozi, isipokuwa wao hujua direct wanachokiabudu, maana wanaonana nacho, lkn ninyi wafia dini hamuvijui mnavyoviabudu kwakuwa vimewaficha na kuwaaminisha mviabudu kwa imani tu bila kuviona.
Amkeni hizo dini zenu mnapoteza muda bure.
Mimi si muislam na siamin dini yoyote, ukweli mchungu jarbuni kuchunguza mamboNdugu
Kiimani wewe ni Muslim
Kimaarifa haya ya dini: una ufinyu na uboga kwa kiasi kikubwa!
Kwenye mada kama hizi soma maoni ya wenzako tu usije ukajifanya mjuaji ukaaibika kama hivi!
According to weweMungu hayupo, mbingu haipo kwahyo, hivo vitabu vyote ni hadith za kufikirika zisizo na tija yoyote katika maisha haya ya duniani
We umekamilika kwaniMosi,Mungu wa Biblia na quran ni just theory/Hayupo,Pili vitabu vyote viwili vinamapungufu/makosa lukuki ya kihistoria,Kimantiki na Kiuandishi na pia Vinachuki,Mauaji,Ujinga wa kiwango kikubwa...
According to realityAccording to wewe
Quran 69:41Mungu yupo, ila hivyo vitabu vyote ni mashairi tu kama ya Shabaan Robert.
Hawa wakristo na waislam wanajionaga kama dini ni zao tu dunia nzima.Sisi Wahindu na kitabu chetu cha Veda tunacomment wapi?