Kipi ni Faraja yako kubwa Simu, Mke, Mume, Girlfriend, Boyfriend, JF, Pombe, Wazazi au Marafiki?

Nikiona dunia inanielemea ninaweka nyimbo zangu za kuabudu, nitaimba, niliee mpaka najikuta nimeingia kwenye maombi..!!

Nikitoka hapo napata faraja ya ajabu mno, na huwa naona kama ile shida imekwisha kabisa..!

Na kitu kizuri ambacho huwa namshukuru Mungu kila iitwapo leo, hakuna situation huwa inadumu kwenye maisha yetu..!!
 
Shika raba acha masendeu!!

cc Chaliifrancisco
 


HISIA za HUZUNI huwa ni mgeni anayekuja kukutembelea nakuondoka

So Embrace ur negative emotions by practice gratitude
 
Pesa, hasa uingize kibunda chako mwenyewe afu uwe unazihesabu weeee, raha ya hapo ni zaidi ya kupizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…