ideathinker
JF-Expert Member
- Jul 29, 2024
- 262
- 386
SIMU(jf)Ukiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi.
Kila mtu ana sehemu akienda anaenda kupata faraja.
Tupe uzoefu wako.