ideathinker
JF-Expert Member
- Jul 29, 2024
- 262
- 386
SIMU(jf)Ukiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi.
Kila mtu ana sehemu akienda anaenda kupata faraja.
Tupe uzoefu wako.
Huko sipo mkuu sijui vihisishifasihi hiyo
kihisishi hicho
Jamiiforums mmUkiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi.
Kila mtu ana sehemu akienda anaenda kupata faraja.
Tupe uzoefu wako.
Mmh Chai hiiNimetengeneza mfumo wa kuzuia matapeli wote wa tuma kwa namba hii
Unaweza kunitumia namba yako nikuwekee ulinzi dhidi ya utapeli
Ukiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi.
Kila mtu ana sehemu akienda anaenda kupata faraja.
Tupe uzoefu wako.
Ww una mume au boyfriend? Au una vyote?Boyfriend
Kwan hujaoa mkuuDaaaah
Mara nyingi huwa naenda bafuni najifungua nalia mno mpaka kamasi zinatoka
Ahahahah mkuu sijaoa wala sina demu...Kwan hujaoa mkuu
SIMUUkiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi.
Kila mtu ana sehemu akienda anaenda kupata faraja.
Tupe uzoefu wako.
Ahaaa kumbeee duuh naona kijana MaT2B hjafikaa apa kuna nyuzi aliziangushaa juzi kati humu kuwa ni mpweke SanaAhahahah mkuu sijaoa wala sina demu...
Kuna practice nafanya inaitwa semen retention...
Fatilia nyuzi za dr haya land utaelewa ...ni mambo mazito hayo
Mbona kinakifuuu au kwangu tuMsosi hasa kitimoto....kinanitolea kabisa msongo wa mawazo...