Kipi ni Faraja yako kubwa Simu, Mke, Mume, Girlfriend, Boyfriend, JF, Pombe, Wazazi au Marafiki?

Simu ,,,
Hapo nitaingia jamiiforum ntazunguka jukwaa hili na lile ,,, kama haitoshi au kama kuna kitu kinanitatiza basi nitakiandika google search majibu yakija basi utakuta pia kilishawahi jadiliwa jamiiforuma basi najikuta napa faraja tokana na maelezo ya wadau mbalimbali

Kwa kupitia simu nitacheza draft as if nipo kijiweni kabisaaa ,,, ntainga www.playok.com huko ntakutana na familia ya wacheza draft wenzangu tutacheza mpaka tuchokee

Simu ntaitumia kuwasiliana na washikaji na kupeana michongo ya hapa na pale

Kwa kifupi siwezi kukaa mbali na simu yangu
 
  1. Watoto
  2. Mke
  3. Pombe kwenye 'vibe'
Hicho cha tatu, kitatumika baada ya kuhakikisha, moja na mbili ziko sawa
 
niwe na huzuni.... wazazi wangu,mke wangu,watoto wangu na mifugo yangu hunipa nguvu ya kuona ni swala la muda tu yatapita......

nikiwa na furaha nakula cha arusha
 
Kama haujataja pombe, bora nisikomenti anising hiya...πŸ€₯
 
πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…