Kipi ni Faraja yako kubwa Simu, Mke, Mume, Girlfriend, Boyfriend, JF, Pombe, Wazazi au Marafiki?

Mkuu wewe huangalii movie au hata comedy za Joti?
 
Watoto
 
Nimetengeneza mfumo wa kuzuia matapeli wote wa tuma kwa namba hii
Unaweza kunitumia namba yako nikuwekee ulinzi dhidi ya utapeli
Nenda Facebook huko utapata wa kuwaingiza mkenge. Kwa akili yako finyu unadhani utapata namba ya bibi? Thubutu.
 
wewe apoo
 
Hakuna hata kimoja katika hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…