Kipi ni kigezo sahihi pindi unapochagua mtu wa kuoa?

Kipi ni kigezo sahihi pindi unapochagua mtu wa kuoa?

Upendo kwanza, uzuri wake, nasaba yake hapa tafuta wa asili yako angalia tabia zao kama utapeli,wizi, akili, mafanikio,magonjwa ya kurithi, ukorofi ,majivuno so yeyote unaye endana nae fresh tu.
Kwa sasa naona unaweza kuoa sehemu yeyote ile kwa hapa Tz maana naona muingiliano ni mkubwa tabia nyingi hata jamii nyingi zinafanana
 
Angalia familia ambayo baba ni baba kweli siyo zile familia ambazo kila mtu ni kambale. Swala la hofu ya Mungu ni kichaka.

Usichague siku ya sherehe, hata ukivutiwa fanya ziara ya kushtukiza kabla hajapiga mswaki usijekuchanganywa na kope bandia, vigodoro, make up n.k

Hii bonge la point, kwamba nafasi ya baba nyumbani kwa binti ipoje itakupa taswira namna gani atakuja kuwa mama kwako
 
Yani kama nimpambaniji tu, sio mwanamke wa kusubili kuhudumiwa tu kila wakati wewe owaaaaaa kijana.
 
Kuoa ni kama kubet- you should stake what you can afford to lose....... Ila kukushauri nenda kwa mwenye hofu ya Mungu- utanishukuru baadae japo mambo mengi ya kidunia utayakosa [emoji28][emoji28][emoji28]
Retired veterans huwa wanakuja kujificha uko unakosema ww
 
Angalia familia ambayo baba ni baba kweli siyo zile familia ambazo kila mtu ni kambale. Swala la hofu ya Mungu ni kichaka.

Usichague siku ya sherehe, hata ukivutiwa fanya ziara ya kushtukiza kabla hajapiga mswaki usijekuchanganywa na kope bandia, vigodoro, make up n.k
Very true
 
Likifika swala la kuoa huwa hakuna vigezo sahihi. Moyo ukishaamua yake hata akiwa jambazi utamuona malaika tu.
Kikubwa kama hujaoa/olewa muombe Mungu wako aelekeze moyo wako sehemu sahihi tu.
Vigezo vipo boss, ndiomana watu wanapotea kwa kusema hakuna formula
 
Kwangu mimi Upendo kwanza, then awe humble naamini vingine ataelekezeka.
 
Hakikisha anajua kupika vizuri, tena sio kupika tu ni kupika chakula kitamu
 
Back
Top Bottom