Amos David Mathiasii
Member
- Sep 4, 2022
- 87
- 148
Omba chochote ili mradi kinafuata mpango wa MUNGU kwakoMungu amenipa uwezo wa kukabiliana na watu wa namna zote.
Siwezi muomba kitu Kama hicho, vipo vingi vya kumuomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba chochote ili mradi kinafuata mpango wa MUNGU kwakoMungu amenipa uwezo wa kukabiliana na watu wa namna zote.
Siwezi muomba kitu Kama hicho, vipo vingi vya kumuomba
Ndio hao sasa wanaendaga uko [emoji23]Hapa sasa itakuwa unaoa Bibi aseeeh
Brother nimekuelewa Sana,nilikutana na mwanamke wa hivi nilikoma[emoji119][emoji119][emoji119]Asiwe tu mshirikina,hayo mengine yote yanasameheka fundishika kuelekezana ila
swala la kwenda kwa kalmanzila hapana asee,tafuta namna unayoweza mtega kwa story
ukiona ktk sentensi zake atakutajia "mganga" mtaalamu,tupilia mbali kule hiyo witch doctor.