Bila kusahau,Awe mbana Bajeti Mpe 2000 halafu muache nenda kazini
ukirudi uone utakuta chakula au hukuti, hakikisha Gas ipo au mkaa upo
vingine vyote hakikisha hamna,ndani awe na hiyo 2000 tu uone utakuta
chakula gani ukirudi nyumbani,hakikisha mahtaji mengine kama sabuni
na vitu vingine vyote vipo yani 2000 iwe n ya chakula tu asije akasema alienda
nunulia sabuni,au steal wire... 2000 ni ya msosi then kausha ukrudi utaona utakuta nini.
Bright Woman,hatoazima wala hatokopa ila kuna chakula cha kupika mkala kwa hiyo 2000.
Hawezi jua ni chakula gani kama akili yake ipo kiunoni,mpe challenge hiyo halafu kaa kwa kutulia ujue aina ya Joker au galasa ulilo lamba.