Kipi ni salama zaidi kutumika wakati wa ukavu katika tendo la kujamiiana

Mabadiliko ya tabia-nchi muheshimiwa.
 
Fi First impressions countπŸ˜„
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu ni mpotoshaji, tafadhali musije kujaribu kutumia mafuta ya nazi, yatawachubua kizeeeeeembe. Kama ni jambo la dharura, mdomo haukauki mate, jiongeze. Ukimjua mwenzio ana hili tatizo, nunua kilainishi. Mafuta laini, ngoma itapandisha na kushusha kitonga salama hadi raha. Sio gharama, nadhan chini ya 10000 umepata kichupa. Mwenye uhitaji, kwa 14000 nitakuletea
 
Em taja hayo mafuta hapa, ukute ni fake au refurbished, Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…