Kipi ni salama zaidi kutumika wakati wa ukavu katika tendo la kujamiiana

Wewe ni KE or ME nataka nitoe ushauri nikijua naongea na jinsia gani?
 
Wewe ni KE or ME nataka nitoe ushauri nikijua naongea na jinsia gani?
zungumza na wadau wa jukwaa hili katika ujumla wake bila kuleta element za ubaguzi wa kijinsia, kwa manufaa ya Afya ya via vyao vya uzazi itapendeza zaidi ๐Ÿ’
 
Hivi mzee baba, wewe ndiye kuna wakati uliandika utagombea ubunge?
ulishawahi kukutana na kadhia hii ya ukavu na kukauka kwa via vya uzazi wakati ukiwa faragha na mwenzi wako?๐Ÿ’

ulikabiliana vip na mazingira hayo, ukiendelea au busara ilikuelekeza kuahirisha zoezi hadi wakati mwingine muafaka?๐Ÿ’
 
Tooo theoretical ๐Ÿคฃ
 
Em taja hayo mafuta hapa, ukute ni fake au refurbished, Lol
Inaonyesha una experience ya kutosha hadi kuwa n uwezo wa kujua ubora wa sexual lube kwa majina tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ny, don't mind me, just axaggerating๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
In other words, i can order n deliver for people who can't at a profit. How does that sound๐Ÿฅฑ
 

Attachments

  • Screenshot_20240622_140203_Chrome.jpg
    95.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240622_140136_Chrome.jpg
    244 KB · Views: 3
aise,
mambo mazito haya ๐Ÿ’

licha ya kupata mawazo mapya kuna mambo na vitu vipya sana aise vya kuvijua, kuvielewa na kulifahamu...

ama kweli, kua uyaone..
kuuliza sio ujinga...

thank you very much muungwana kututoa tongotongo ๐Ÿ’
 
Kwa hiyoo mnataka yenye maji au yenye ute?...jamani hayo ni maumbilee
bibafs sina haja na ute au maji..

ila nilitaka tu kujua kwa faoda ya afya za wadau,
kipi ni sahihi kati ya mate au mafuta yakulainisha panapotokea ukavu au kukauka via vya uzazi mnapokua kwenye tendo la kujamiiana?

sasa kibu lako limenipa uelewa mpya kwamba kumbe kua na ute au maji kunaweza kusababishwa na maumbile mom?
 
Mimi sio mtaalamu Sana...ninachojuaa Mimi hivyo vilainishi sio vizuri hata kidogo kwa maumbile ya wanawake na havishauriwi..kutokana na Mambo kuwa magumu watu hutumiaa...kiasili pussy ya mwanamke inatakiwaa kuwaa wet ili kuwezeshaa easy penetration na enjoyable sex...Hiyoo wetyness tunaipatajee hapoo sasa..tunapaswaa kutunza maumbile yetu...vyakula..stress free...hisia n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ