Salaam, Shalom!!
Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi,
1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji.
2. Kunyamazishwa wananchi wasilie, wasiseme, wasilaumu Wala kukemea vitendo ovu vya mauaji na utekaji wa raia wasio na hatia.
Eti, hata wewe uliyehitimu saint kayumba, La Saba A, ungechukua uamuzi Gani kati ya uamuzi no. 1 na No. 2?
NB: Ukila na kipofu, hakikisha humgusi mkono akastuka🤔
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏