- Thread starter
- #21
Habari ya gahawa achana nayo,Wamekunywa wote kahawa leo, kupongezana na kupewa baraka zaidi za kuendelea na kazi nzuri wanayofanya.
Tarajieni mengi zaidi, hasa mizoga maporini. Yote kwa baraka ya alie juu yao.
Muhimu akumbuke kuwa polisi KAZI Yao ni kulinda wapiga kura,
Hawana uwezo wa kumpigia kura kiongozi yeyote akashinda.
CCM kura zinapotea kirahisi!!