- Thread starter
- #41
Niamini Mimi unazeeka vibaya,Kwanza kabla ya yote tunataka vijana wetu waliotoka mafunzo ya FFU wapate zoezi hai.
Ingieni kwa wingi kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku ili tuone vijana wetu itawachukuwa muda gani kuwatuliza na kuwafanya muweze kutii amri bila kushurutishwa.
Hao askari walioajiriwa, ni kaka na dada zetu, ndugu zetu kabisa,
Kuwaamrisha wawaumize ndugu zao wasio na hatia,
Uwe na HAKIKA wataasi hiyo amri na kuungana na raia WEMA.
Mchezo wa siasa uchezwe ndani ya ulingo wa siasa Si vinginevyo.
Tusubiri.