R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Sep 20, 2024 Thread starter #41 FaizaFoxy said: Kwanza kabla ya yote tunataka vijana wetu waliotoka mafunzo ya FFU wapate zoezi hai. Ingieni kwa wingi kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku ili tuone vijana wetu itawachukuwa muda gani kuwatuliza na kuwafanya muweze kutii amri bila kushurutishwa. Click to expand... Niamini Mimi unazeeka vibaya, Hao askari walioajiriwa, ni kaka na dada zetu, ndugu zetu kabisa, Kuwaamrisha wawaumize ndugu zao wasio na hatia, Uwe na HAKIKA wataasi hiyo amri na kuungana na raia WEMA. Mchezo wa siasa uchezwe ndani ya ulingo wa siasa Si vinginevyo. Tusubiri.
FaizaFoxy said: Kwanza kabla ya yote tunataka vijana wetu waliotoka mafunzo ya FFU wapate zoezi hai. Ingieni kwa wingi kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku ili tuone vijana wetu itawachukuwa muda gani kuwatuliza na kuwafanya muweze kutii amri bila kushurutishwa. Click to expand... Niamini Mimi unazeeka vibaya, Hao askari walioajiriwa, ni kaka na dada zetu, ndugu zetu kabisa, Kuwaamrisha wawaumize ndugu zao wasio na hatia, Uwe na HAKIKA wataasi hiyo amri na kuungana na raia WEMA. Mchezo wa siasa uchezwe ndani ya ulingo wa siasa Si vinginevyo. Tusubiri.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Sep 22, 2024 Thread starter #42 .
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Sep 29, 2024 Thread starter #43 Muheahimiwa, wafute KAZI hao viongozi.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 8, 2024 Thread starter #44 .
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 8, 2024 Thread starter #45 mwananyaso said: Unafikiri nchi inaendeshwa kama familia yako unavyoipeleka?, Kama ajenda ni kumuondoa Masauni na Wambura utasubiri sana, Click to expand... .
mwananyaso said: Unafikiri nchi inaendeshwa kama familia yako unavyoipeleka?, Kama ajenda ni kumuondoa Masauni na Wambura utasubiri sana, Click to expand... .