Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Ungetaja pia chanzo cha hilo tatizo lako ili iwe rahisi kupata msaada sahihi.Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.
mimi huwa nafuga ndevu, nikikwama huwa nakuna ndevu huku nafikiria maisha, muda huo midevu imejaa najiambia mwanaume na ndevu zote hizi nafeli wapi?Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.
Chanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.Ungetaja pia chanzo cha hilo tatizo lako ili iwe rahisi kupata msaada sahihi.
Hata sitamani kuona sura yangu, i feel shame and guilty.Jiangalie kwa kioo,jisemeshe mazuri na usikate tamaa
Mkuu hiyo siwezi fanya kwa sasa, akili haina focus kabisaMeditation
Pole sana Comrade.Chanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.
Ombi langu ni msaada wa kimawazo kwa namna gani naweza fanya kuondokana na depression na majuto makali niliyonayo moyoni mwangu.
Shukran sanaPole sana Comrade.
Meditation haihitaji mpaka akili iwe na focus bali ukianza na kuvumilia yenyewe tu itakupa focus , mtu akiwa mgonjwa ndio anahitaji mlo bora zaidi .Mkuu hiyo siwezi fanya kwa sasa, akili haina focus kabisa
Piga usingizi!Na kama ni muumini wa Dini sali sana na kuimba Tenzi za Rohoni!Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.
Mkuu maybe inawezekana lakini nipo katika wakati ambao sio wa kawaida kabisa, najua umuhimu wa meditation Lakini kwa sasa siwezi fanya.Meditation haihitaji mpaka akili iwe na focus bali ukianza na kuvumilia yenyewe tu itakupa focus , mtu akiwa mgonjwa ndio anahitaji mlo bora zaidi .
Kama vipi piga konyagi basiMkuu maybe inawezekana lakini nipo katika wakati ambao sio wa kawaida kabisa, najua umuhimu wa meditation Lakini kwa sasa siwezi fanya.