Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
- Thread starter
- #41
ShukranPole,
ShukranPole,
Mkuu nashukuru sana japo nimeandika hapa jukwaani kwa lengo la kupata msaada wa kimawazo kwani ilifika wakati nikawa sitamani kusihi hata kwa dakika moja.Mkuu, serous!! Pole sana... Japo kwa wengne Financial ni kawaida tuu!! Maan wengne wengi hata kupata chakula tu mtihani,! Na wanamshukuru Mungu..
Tafuta mtu unaemwamini zungumza nae!
Japo nashauri uweke hapa jukwaan
Mbupu sionajibinya
Duh sijui unayopitia ila pole sana, tafuta msaada mapemaBasi mkuu hunawahi patwa na depression Kali, hivyo vitu haviwezi kuhimili hali ya ubongo wangu kwa sasa.
hiyo hali itakuganda sana kwa muda mrefu gentleman,Mkuu mimi sina shida na wanawake, ni afadhali naumizwa kichwa na mambo ya msingi kama haya yaliyonikuta kuliko kukaa na kuwaza wanawake

kama umeloose pesa isikukatishe tamaa unaweza kupata tenaChanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.
Ombi langu ni msaada wa kimawazo kwa namna gani naweza fanya kuondokana na depression na majuto makali niliyonayo moyoni mwangu.
ndioMbupu sio
1. Acha kusoma post za watu wanaojisifia kwa mafanikio kwenye social media. Unaweza kudhani wewe pekee ndiye mwenye shida dunia hii. Kuwa mwangalifu sana unapokuwa kwenye Internet, uwe unachagua vya kusoma. 2. Bata lako lilie sehemu za watu wa hali ya chini. Kama ni mnywaji ingia klabu ya kangara au chibuku, agiza bia safari yako moja, angalia maskini wenzako walivyo na furaha. 3. Usikae au usijifungie ndani, tembea sehemu ambazo hufahamiki sana utakutana na watu wenye shida kuliko wewe na utajiona wewe ni tajiri.Chanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.
Ombi langu ni msaada wa kimawazo kwa namna gani naweza fanya kuondokana na depression na majuto makali niliyonayo moyoni mwangu.
Ni njia nzuri piaNatafuta sehemu iliyo kimya nakaa peke yangu hata masaa matatu au manne, Nafikiria tu. Nikitoka hapo natoka na hitimisho
Kweli naishi pekeyangu lakini siku zote naishi kwa furaha kasoro wakati huu ambao yamenifika mambo na furaha yangu imetowekahiyo hali itakuganda sana kwa muda mrefu gentleman,
jitahidi basi kuishi walkau hata na mdogo wako tu angalau. pekeyako hizo hali haziwezi kukuacha.
infact ni sawa tu na mtu mwenye stress,
kamwe hawezi kukubali kwamba ana stress, na kumbe maskini ya Mungu ni victim hali mbaya sana wa stress, sawa tu na hali inayokuzonga kwa sasa gentleman![]()
Kweli hela hupatikana lakini ku loose pesa na asset katika wakati ambao uhitaji ni mkubwa lazima ubongo na moyo upate shida.kama umeloose pesa isikukatishe tamaa unaweza kupata tena
Nasaha nzuri mkuu na nashukuru sana kwa maelezo hayo.1. Acha kusoma post za watu wanaojisifia kwa mafanikio kwenye social media. Unaweza kudhani wewe pekee ndiye mwenye shida dunia hii. Kuwa mwangalifu sana unapokuwa kwenye Internet, uwe unachagua vya kusoma. 2. Bata lako lilie sehemu za watu wa hali ya chini. Kama ni mnywaji ingia klabu ya kangara au chibuku, agiza bia safari yako moja, angalia maskini wenzako walivyo na furaha. 3. Usikae au usijifungie ndani, tembea sehemu ambazo hufahamiki sana utakutana na watu wenye shida kuliko wewe na utajiona wewe ni tajiri.
Hakika sala ni tiba na nashukuru kwa ushauri huo madam, mimi huwa nafunga kilasiku na leo nilifunga ila baada ya kukutwa na yaliyonikuta naamini funga yangu iliharibika kabisa kwani nilisema mengi kutoka moyoni.Pole sana kwa changamoto unayopitia.
Waswahili wanasema mzigo wa mwenzio...kanda ya usufi. Kila mmoja lake huliona zitoooo sanaaaa. Lkn believe me hio hali unayopitia kuna wengine wanapitia na wamepitia kuliko hayo na wamevuka sasa imebaki story tu.
Mie ushauri wangu kama ni muumini basi muombe sana Mungu. Kipindi hiki watu wanafunga pata na wewe funga na kusali sana kuna vitu utahisi tu vinaanza kuwa vyepesi. Km kuna kitu umepoteza na unahisi sio rahisi kukirudisha basi hata uwaze vp hakitarudi. Omba Mungu anza upya Biidhnillah mambo yatakuwa mazuri zaidi ya yalivokuwa. Nafsi yako bado inakuhitaji kama ulivo jitahd usiiumize you must love you...
View attachment 3284185
pole gentleman,Kweli naishi pekeyangu lakini siku zote naishi kwa furaha kasoro wakati huu ambao yamenifika mambo na furaha yangu imetoweka

Workout mzeeMkuu hiyo siwezi fanya kwa sasa, akili haina focus kabisa
Mkuu mimi naona kwa sasa sehemu ambayo nahisi ni salama kwangu ni kukaa tu ndani kwangu.Workout mzee
Mm nilipitia upsdown nilikuwa naamka alfajiri saa kumi na moja hadi saa mbili navunja KM 20
Narud naoga napata breakfast huyooo
Jioni nachukua njumu uwanjani
Nikirud naoga nafanya meditation
Nilipunguza tatizo kw 78 %
Shukran sana Gentleman huenda nitapona na kuendelea na shughuli zangu za kila siku.pole gentleman,
but hiyo ni hali ya kawaida kwa binadamu kupitia nyakati tofauti tofauti kisaikolojia ikiwa ni pamoja na mafarakano katika nafsi.
Mungu akujaalie ahueni na hatimae uponyaji kabisa gentleman, usiacha mazoezi ya mwili kukuweka fit mentally.![]()