Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Mungu mwema gentlemanShukran sana Gentleman huenda nitapona na kuendelea na shughuli zangu za kila siku.

Mungu mwema gentlemanShukran sana Gentleman huenda nitapona na kuendelea na shughuli zangu za kila siku.

Mtu pekee ninaye mwamini ni Mama yangu, ila naogopa kumwambia coz nahisi atakuwa na hofu zaidi yangu.Pole sana, maisha yana changamoto nyingi ila nashauri kama kuna mtu unamwamini jaribu kuzungumza nae pia jichanganye usikae sana kwenye upweke
Mkuu mimi nawaza ntapata vipi pesa alafu unasema tena nikanunue hivyo vitu ndyo nitoe strees??Mpepe(Bangi)+Kitimoto Rosti 1½+Juisi Ya Ukwaju Au Ubuyu Bariidi....
Mimi huwa nasoma maandiko mbalimbali hasa vitabu na Jf mada za kujengaChanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.
Ombi langu ni msaada wa kimawazo kwa namna gani naweza fanya kuondokana na depression na majuto makali niliyonayo moyoni mwangu.
Hakika🤣Aye Captain 😁😁😁
Mimi na FaizaFoxy tunasikiliza kaswida na kwaya zamzamSote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.
Kweli kabisa, ushawahi fikia hatua ukahisi kuendelea kuishi ni mateso tu?Nakuelewa sana mkuu..
Binafsi kuna siku nahisi kabisa nakaribia kuwa chizi ila nashangaa bado nadunda. Naogopa
Ukikaa ndani ujifunze kusoma vitabu na kuandika storyMkuu mimi naona kwa sasa sehemu ambayo nahisi ni salama kwangu ni kukaa tu ndani kwangu.
Chanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.
Ombi langu ni msaada wa kimawazo kwa namna gani naweza fanya kuondokana na depression na majuto makali niliyonayo moyoni mwang
Kama ni vitabu ninavyo vingi mpaka sijui niweke wapi, ila kwa sasa sidhani kama kusoma ni solution mkuu.Ukikaa ndani ujifunze kusoma vitabu na kuandika story
Mimi nilikuwa nikikaa ndan naamtunga story nawauzia hawa wenye vipage mtandao I😁