Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

Rafiki yangu wa dhati..
IMG_2321.jpeg
 
Hakika sala ni tiba na nashukuru kwa ushauri huo madam, mimi huwa nafunga kilasiku na leo nilifunga ila baada ya kukutwa na yaliyonikuta naamini funga yangu iliharibika kabisa kwani nilisema mengi kutoka moyoni.

Ila nitajitahidi kusali na kuomba japo najua itachukua muda kupona.
Pole sana yatapita hayo mkuu
Baadhi yetu tunaotoa ushauri hapa tushafikwa na makubwa kuliko hayo. Na bado tunaendelea kukung'utwa na mitihani. Wengine imani za dini tu ndio zinatusaidia. Tunaamini kwenye kuishi lazima uwe tested, hapo sasa ni wewe namna ya kuishinda mitihani.
 
Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.

Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.
Huwa naimba nyimbo za Misiba, najikuta napata nguvu mpya, kuna Ile wimbo "Liko pumziko la Mioyo, amkaaaaa wee unayelala, unaugua kama ......"

Au ule mwingine "Mbinguni, Mbinguni, kuna mji mwema......" Au " ule mwingine wa NCHI NZURI YA METAMETA
 
Prayers, nenda kwenye ibada, sifu ,shukuru stay active kuna mabadiliko utayaona
 
Huwa naimba nyimbo za Misiba, najikuta napata nguvu mpya, kuna Ile wimbo "Liko pumziko la Mioyo, amkaaaaa wee unayelala, unaugua kama ......"

Au ule mwingine "Mbinguni, Mbinguni, kuna mji mwema......" Au " ule mwingine wa NCHI NZURI YA METAMETA
Mkuu nyimbo za maombolezo kiukweli mimi sizijui, lakini najitahidi kusali japo bado akili haijakaa sawa.
 
Hapo unateswa na vitu viwili at the same time, 1. Mambo hayaendi pesa hakuna. 2. Mahusiano yako hayaeleweki yan mamsap kakukataa baada ya kuona apeche alolo, aisee unaweza kuchizi usipokua makini.
 
Pole sana yatapita hayo mkuu
Baadhi yetu tunaotoa ushauri hapa tushafikwa na makubwa kuliko hayo. Na bado tunaendelea kukung'utwa na mitihani. Wengine imani za dini tu ndio zinatusaidia. Tunaamini kwenye kuishi lazima uwe tested, hapo sasa ni wewe namna ya kuishinda mitihani.
Kweli maisha ni mtihani lakini kuna mambo mengine hutokea mpaka unajiuliza au labda kuna sehemu ulikosea au ni majanga tu yanaamua kukushukia wewe
 
Hapo unateswa na vitu viwili at the same time, 1. Mambo hayaendi pesa hakuna. 2. Mahusiano yako hayaeleweki yan mamsap kakukataa baada ya kuona apeche alolo, aisee unaweza kuchizi usipokua makini.
Afadhali mambo yangekuwa hayaendi, ila yanaenda hatua moja mbele na kurudi 100 nyuma.

Kuhusu mahusiano, sina mtu ambaye ana nafasi ya kusumbua akili yangu.
 
Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.

Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.
Pray, listen gospel songs
 
Kweli maombi husaidia, lakini Mkuu unadhani ni rahisi kuhimili maumivu ya kupoteza almost 80% of what you own kwa siku moja?
Man let me tell you? Kiwango cha maumivu kitategemea na kiwango cha attachment kilichopo na kitu mtu ana value.
I cant judge you bro, but i can tell you some of and maybe ww si wa kwanza, wamepitia huko. ku stay kwenye hiyo hali kwa muda mrefu kutakupelekea udumbukie gizan kabisa.

It will suck for a while, lakin toka ndani, so something. Force yourself, itachukua muda but maumiv yataanza kupungua
 
min -me konyagi Tena 😹😹

Ila tupo wengi mwnyw sijui nifanye nn mpaka naona dunia chungu guys depression is real 😢💔
 
Back
Top Bottom