The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Jifunze meditation ni kiboko ya matatizo yote
1. PrayersSote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot inside my heart and mind.