Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Hayo yote umfanyie mtu alievuta domo mpaka ukiwa unaingia ndani unakutana nalo getini,tena kwa saabu ya kifala tu,ukute una wiki na zaidi unajitahidi muongee.Ila wanawake wengine sometimes wanakuaga kama vitoto aisee
Anataka kubembelezwa jamani, mvute mikononi mwako mkiss, kisha mwambie unampenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domo litarudi kwenye size yake
 
Eeeh ok
 
Wanawake ni wajinga sana coz kumbania mumeo uchi ni kosa kubwa sana mnafanya. Mwanaume hanyimwi uchi bora umnyime chakula na kitu kingine chochote lakini sio uchi. Ukimnyima wewe wenzio watampa tu na ndio chanzo kikubwa cha migogoro ya ndoa. Badilikeni aisee la sivyo talaka hazitakaa ziishe
 
Sasa inategemea kakunyima saa ngapi. Kama ni kuanzia asubuhi hadi jioni fanya hivi vaa pendeza toka nyumbani nenda madukani huko kamnunulie housegirl zawadi za kutosha na kibunda cha noti za bukubuku zenye thamani ya elfu 50. Na chupi nzuri moja. Kisha rudi nyumbani mkabidhi kwa upooooole mwambie wewe ndio mama mwenye nyumba,.. alafu rudi sebleni subiri utengewe ugali na mboga tamu. Kama ni usiku amka kalale sebleni tulia tuliiiiii housegirl akiamka alfajiri atakuonea huruma mwenyewe . Kisha siku zijazo hutakuja kulalamika tena na mkeo hutamuacha Mpaka housegirl apate mimba.
 
Simple mbona.
Tatutua sababu iliyopelekea yeye kufanya uhamuzi huo ikiwa liko ndani ya uwezo wako. Otherwise utakoma
 
Suluhisho ni kujua tatizo ni nini? Jambo hilo linaendana na hisia yaani feelings, Hata wanaume wana tatizohilo, mke anataka mume jogoo hawiki. Lakini haimaanishi mume ana ugonjwa hapana, sababu akiona pisi kali huko mtaani jogoo anastuka. So Panga muda mzuri wa kuzungumza, mtoe out sehemu nzuri mdiscuss marital issues.
 
pesa ni majukumu yangu.yaani siwez acha wajibu wangu eti sababu yeye kaacha wake.Ila kubembeleza chiu wa halali kabisa kwangu ni kosa lilio category moja na usaliti.Anaweza nipoteza mazima au nika loose interest ya ngono kabisa na yeye aisee
Basi potezea kabisa kuhusu unyumba,usimuombe Wala nini mapaka ajishtukie
 
pesa ni majukumu yangu.yaani siwez acha wajibu wangu eti sababu yeye kaacha wake.Ila kubembeleza chiu wa halali kabisa kwangu ni kosa lilio category moja na usaliti.Anaweza nipoteza mazima au nika loose interest ya ngono kabisa na yeye aisee
Basi potezea kabisa kuhusu unyumba,usimuombe Wala nini mpaka ajishtukie
 
Kwenye hicho chumba kiwe sound proof yaani sauti isitoke nje.. hawezi ninyima mzigo
 
Na hio ndio payback ya kupenda bila side chick..

Ko la kunyimwa unyumba linavunja ndoa kabisa..
 
Namba moja haihusiki... nyani wakikosana dawa huwa ni mapenzi
Kabisa kutakuwa na sababu tu:-

1.Labda alimuudhi(Sumu ya mapenzi ni maudhi)
2.Anaumwa (Anajisikia vibaya ,hana mzuka etc)
3.Yupo kwenye mshahara wa mwisho wa mwezi

Kama hakuna sababu kama hizo lazima arudi kwao akapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…