Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Hawezi kukunyima bila sababu.
Kuna mdau alisemaga hivi

#03

 
Katafute mchepuko yakukute ya babu mwitore.

Huwezi nyimwa unyumba bila sababu. Kaongee na mkeo vyema.

Either mgonjwa, depressed ama kuna mambo unamfanyia si sawa. Kaomgee nae poa. Michepuko itakugharimu
 
Anataka kubembelezwa jamani, mvute mikononi mwako mkiss, kisha mwambie unampenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domo litarudi kwenye size yake
wanawake mpunguze ubinafsi kidogo Zesh.
Kuna mdogo wako alibembelezwa for three days bado kanuna tu,alipojaribu kushikwa kajitoa kwa nguvu kamjeruhi jamaa mkono vizuri tu na chupa iliopasuka.Jamaa akaamua kukaa kimya na kutouliza chochote hata chakula(maana siku ya pili toka ugomvi alipofika home alikuta hakujapikwa kaenda kununua msosi wake na mkewe)now akirudi anakua kala mtaani na kambebea na yeye,anadai anasalimia tu na kuingia kulala.ananunua nguo tu anaweka kwenye buti anavaa lodge dada kaja home kushtaki,jamaa anasema yeye hana shida na mkewe na wako poa tu.Hii ndoa sidhani kama ipo tena maana jamaa anasema hana hisia tena na dada kama mke so dada aamue.
 
Basi potezea kabisa kuhusu unyumba,usimuombe Wala nini mapaka ajishtukie
Yaani mimi unyumba na mtu anaeninyanyasa nao wakati naweza napata pu**y tani yangu mtaani bora usiwepo tu.(maana kama ni mapenzi alipaswa kuona jitihada nilizofanya kutengeneza hata kama nilikosea,au la aamue kuwa sasa tunaachana which is good).
Nikimbembeleza mwanzoni ni kwasababu ni mwanaume na nawajibika kuona mambo yanakaa sawa,ila hata mpira una ukomo wa kuvutika.
Hela inipelekeshe,na uchi ninaoweza kuupata tu nao unipelekeshe weee akae nao
 
mmmh hii inshu ya kunyimwa unyumba huwa nasikia tu kama hivi,. mimi kwa upande wangu sijawahi kunyimwa kabisa kila nikitaka najipatia tu kiulaini,,,sasa mkuu ukinyimwa mi nakushauri utafute mwingine tu ujikomboe kwa nini upate shida?
 
Katafute mchepuko yakukute ya babu mwitore.

Huwezi nyimwa unyumba bila sababu. Kaongee na mkeo vyema.

Either mgonjwa, depressed ama kuna mambo unamfanyia si sawa. Kaomgee nae poa. Michepuko itakugharimu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Mkuu unakosea kumjaji mwanamke kwa mwenendo huo, hawa watu ni kuishi nao kwa akili tu kwanza tambua hormones zao hushuka na kupoteza hamu ya kufanya hilo tendo, kwahiyo ni swala la mtambuka tu, hata mwanamke akishajifungua huwa inakua hivyo ni jambo la kibiology kabisa na sio wanafanya makusudi,
 
Siku zote mwanamke wako akiwa anakunyima unyumba ujue Kuna sehemu analiwa.
 
Huyo mwanamke ni mpumbavu, mtu anakubembeleza siku zote unavunga huo ni upuuzi, jambo gani lisiloisha... Mwanaume akomae hapohapo ili hilo janamke lenye gubu lipate fundisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…