Kipigo cha leoTayari Netanyahu katoa mlio

Mwaka 2006, nilifuatilia ile vita kwa karibu sana. Inasadikika tena na vyombo vya magharibi kuwa ile vita ngoma ilikuwa “draw”

Go figure yourself.

Vita hiyo haitakuwa ndogo.
 
Israel angekuwa mnyonge kiasi hicho nchi za kiarabu zingekuwa zimesha mvamia na kitwanga lakini Israel ni moto ulao mji wa Gaza umebaki Magofu kila familia ni vilio, sera za Israel hazibadiki hakuna siku ambayo waziri mkuu ataingia halafu asema nataka tuunde mataifa 2 . Tena atakapoingia Beny Gantz ambaye ni mtu wa vita nchi za kiarabu zitajuta, huyo amezaliwa na kukulia Israel tofauti na Netanyahu mtu wa USA.
 
Hezbo Allah jeshi la Allah wanatamani mno vita wacha wapewe tu zawadi ya Vita... maana hawajachokozwa bali wanataka wao tu.. Malipo ni kupoteza ardhi
 
Mpaka sasa hivi magaidi Hezbollah wamekufa zaidi ya 500 na hapo mzayuni hajaingia mzigoni rasmi.
 
Israel anaua watu wengi sababu anapga kwenye mikusanyiko ya raia lakini Hezbollah yy anashambulia Kambi za jeshi na anaua wanajeshi wengi tu hila Israel hawezi toa taarifa hzo lakini Hezbollah kashamwambia akipga raia wa Lebanon nao watapga raia ndio maana unaona Israel anajifikiri kufanya mashambulizi ya kuua raia anajua raia wake nao watakufa maana Hezbollah uwezo wa kushambulia ndani ya Israel anao
 
Amka acha kuota saa hz usije uka💩💩 eti wa ikalie Lebanon kama israel mwaka 2006 alitimuliwa maeneo aliyokuwa anayakalia ndani ya Lebanon Sasa hv ndio hawezi kabisaa maana ule uwezo was mapambano wa Hezbollah umeongezeka mara 1000
 
Hayo mambo yanawahusu?

Kwamba nyie huko mnashabikia vita za wenzenu huku mnaimba mama anaupiga mwingi
Nyie machawa huku mnafata nini nendeni kwenye mambo yenu ya kimama hata mtu akijamba mnamsifia.
 
Wanafanya mambo kwa maslahi wakiona yako upande wao wanayashupalia
Yakienda kinyume na wao wanayaficha kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…