Kipigo cha leoTayari Netanyahu katoa mlio

Kipigo cha leoTayari Netanyahu katoa mlio

Mwaka 2006, nilifuatilia ile vita kwa karibu sana. Inasadikika tena na vyombo vya magharibi kuwa ile vita ngoma ilikuwa “draw”

Go figure yourself.

Vita hiyo haitakuwa ndogo.
 
Israel angekuwa mnyonge kiasi hicho nchi za kiarabu zingekuwa zimesha mvamia na kitwanga lakini Israel ni moto ulao mji wa Gaza umebaki Magofu kila familia ni vilio, sera za Israel hazibadiki hakuna siku ambayo waziri mkuu ataingia halafu asema nataka tuunde mataifa 2 . Tena atakapoingia Beny Gantz ambaye ni mtu wa vita nchi za kiarabu zitajuta, huyo amezaliwa na kukulia Israel tofauti na Netanyahu mtu wa USA.
 
Hezbo Allah jeshi la Allah wanatamani mno vita wacha wapewe tu zawadi ya Vita... maana hawajachokozwa bali wanataka wao tu.. Malipo ni kupoteza ardhi
 
Mpaka sasa hivi magaidi Hezbollah wamekufa zaidi ya 500 na hapo mzayuni hajaingia mzigoni rasmi.
 
Mbali na ushabiki Hezbollah na Hamas hawaui watu wengi kama Israel. Sasa hai Hezbollah hawaoni kama watapoteza watu wengi sana ktk vita ambayo Israel anaingia na washirika walio wabaje ktk vita na bajeti zao za jeshi ni kubwa?
Naomba kufahamishwa sababu ya Lebanon kuingia vita Sasa hivi na Israel?
Israel anaua watu wengi sababu anapga kwenye mikusanyiko ya raia lakini Hezbollah yy anashambulia Kambi za jeshi na anaua wanajeshi wengi tu hila Israel hawezi toa taarifa hzo lakini Hezbollah kashamwambia akipga raia wa Lebanon nao watapga raia ndio maana unaona Israel anajifikiri kufanya mashambulizi ya kuua raia anajua raia wake nao watakufa maana Hezbollah uwezo wa kushambulia ndani ya Israel anao
 
Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.
Ingawa vita itakuwa kubwa na kali sana,mwisho wa siku israel atashinda,na huenda lebanon ikakaliwa baadhi ya maeneo kinguvu..
Amka acha kuota saa hz usije uka💩💩 eti wa ikalie Lebanon kama israel mwaka 2006 alitimuliwa maeneo aliyokuwa anayakalia ndani ya Lebanon Sasa hv ndio hawezi kabisaa maana ule uwezo was mapambano wa Hezbollah umeongezeka mara 1000
 
Google wako tayari kuweka taarifa za Papa amebariki ushoga lakini kila habari ya israeli kula kichapo wanaifinyia haraka sana, kuna kikosi kazi na bots zimewekwa kufuta hizo taarifa
Ndio yaliyotokea Afghanistan, mpaka wajeda wa Taliban wamefika Kabul ndio waiambia dunia magaidi wanaichukua Afghanistani, miaka yote wanajeshi wa US walikuwa wanakula vichapo huko miliman walizifunika, ilikuwa aibu sana
Wanafanya mambo kwa maslahi wakiona yako upande wao wanayashupalia
Yakienda kinyume na wao wanayaficha kwa nguvu
 
Back
Top Bottom