Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ya kushambulia wanataka mademu ya israelSababu hasa ya hizbu kushambulia Israel ni nini?
Ni kutaka vita tu?
Naombeni mnaojua mnijuze
Hapo sawa, nimekuelewa.Sababu ya kushambulia wanataka mademu ya israel
Hizi ni habari za kimataifa ww unataka tujadili manzese humuHayo mambo yanawahusu?
Kwamba nyie huko mnashabikia vita za wenzenu huku mnaimba mama anaupiga mwingi?
Israel anaua watu wengi sababu anapga kwenye mikusanyiko ya raia lakini Hezbollah yy anashambulia Kambi za jeshi na anaua wanajeshi wengi tu hila Israel hawezi toa taarifa hzo lakini Hezbollah kashamwambia akipga raia wa Lebanon nao watapga raia ndio maana unaona Israel anajifikiri kufanya mashambulizi ya kuua raia anajua raia wake nao watakufa maana Hezbollah uwezo wa kushambulia ndani ya Israel anaoMbali na ushabiki Hezbollah na Hamas hawaui watu wengi kama Israel. Sasa hai Hezbollah hawaoni kama watapoteza watu wengi sana ktk vita ambayo Israel anaingia na washirika walio wabaje ktk vita na bajeti zao za jeshi ni kubwa?
Naomba kufahamishwa sababu ya Lebanon kuingia vita Sasa hivi na Israel?
Amka acha kuota saa hz usije uka💩💩 eti wa ikalie Lebanon kama israel mwaka 2006 alitimuliwa maeneo aliyokuwa anayakalia ndani ya Lebanon Sasa hv ndio hawezi kabisaa maana ule uwezo was mapambano wa Hezbollah umeongezeka mara 1000Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.
Ingawa vita itakuwa kubwa na kali sana,mwisho wa siku israel atashinda,na huenda lebanon ikakaliwa baadhi ya maeneo kinguvu..
IDF wamekufa wangapi maana wao israel hata gari imebebwa wanajeshi tupu ikipgwa kombora yote ikatekea utaambiwa kajeruhiwa mmoja tu wengine wote wazimaMpaka sasa hivi magaidi Hezbollah wamekufa zaidi ya 500 na hapo mzayuni hajaingia mzigoni rasmi.
Acha kulia lia Idhalilike mara ngapi na bado inaendelea kupata kipigoHezbullah itaangamizwa, wakubwa wa dunia hii hawawezi kuiacha Israel idhalilike
RabaikaAmka acha kuota saa hz usije uka💩💩 eti wa ikalie Lebanon kama israel mwaka 2006 alitimuliwa maeneo aliyokuwa anayakalia ndani ya Lebanon Sasa hv ndio hawezi kabisaa maana ule uwezo was mapambano wa Hezbollah umeongezeka mara 1000
Endelea kujipa moto wakati Wayahudi wenzako wanachomwa singe za makalioMpaka sasa hivi magaidi Hezbollah wamekufa zaidi ya 500 na hapo mzayuni hajaingia mzigoni rasmi.
Nyie machawa huku mnafata nini nendeni kwenye mambo yenu ya kimama hata mtu akijamba mnamsifia.Hayo mambo yanawahusu?
Kwamba nyie huko mnashabikia vita za wenzenu huku mnaimba mama anaupiga mwingi
😁sawa hongereni team hamas KWA kumshinda muisrael[B]DW ni chombo cha ki propaganda wanapangiwa habari za kutoa
Wanafanya mambo kwa maslahi wakiona yako upande wao wanayashupaliaGoogle wako tayari kuweka taarifa za Papa amebariki ushoga lakini kila habari ya israeli kula kichapo wanaifinyia haraka sana, kuna kikosi kazi na bots zimewekwa kufuta hizo taarifa
Ndio yaliyotokea Afghanistan, mpaka wajeda wa Taliban wamefika Kabul ndio waiambia dunia magaidi wanaichukua Afghanistani, miaka yote wanajeshi wa US walikuwa wanakula vichapo huko miliman walizifunika, ilikuwa aibu sana
Kukomesha mauaji ya kimbari pale ghaza yanayofanywa na mazayuni na shoga zakeBado nataka sababu kubwa ya Lebanon kuingia vitani na Israel kwa Sasa
Waulize ICC sio mimiKwa hiyo zile kelele kuwa wanakufa watoto kumbe ilikuwa ni uzushi tu wa media?