Kipigo cha mbwa mwizi Chaiondoa Kenya AFCON 2019

Aombee...Cameroon atamfunga Benin kwa ninavyoona.

Mziki utakiwa Angola na Mali...inaweza kiwa sare.
By the way, Kenya anatakiwa aombee mechi zote mbili zinazohusisha #2,3 au 4 watoke sare. Bila hivo Kenya OUT
 
Hii group Tz wametoka na points ngapi?
Tz hata point hawana, lakini pia linaonekana ni kundi lililokuwa na underdogs. Kenya licha ya kupata ushindi dhidi ya Tz nae anaondoka
 
By the way, Kenya anatakiwa aombee mechi zote mbili zinazohusisha #2,3 au 4 watoke sare. Bila hivo Kenya OUT
Sijaelewa hapo maelezo yako.

Ipo hivi.

Kenya ni nafasi ya nne sasa kwenye mshindi wa tatu.

Lakini Benin anapoint mbili na Angola anapoint mbili.

Benin atacheza na Cameroon.

Angola atacheza na Mali.

Hizi mechi mbili zikiisha kwa Benin na Angola kufungwa Kenya amepita.

Lakini hizi mechi mbili moja ikatoka draw Kenya hayupo...atatolewa na timu iliyotoa draw kwa idadi ya magoli ya kufungwa.

...got it?
 
By the way, Kenya anatakiwa aombee mechi zote mbili zinazohusisha #2,3 au 4 watoke sare. Bila hivo Kenya OUT
Afadhali sisi bado tuko na nafasi je nyinyi tuliwaondoa na mikono na miguu yetu.
 
Until tomorrow's games. Anyway Mimi bora Kenya is ahead of Tanzania as always.
Tz hata point hawana, lakini pia linaonekana ni kundi lililokuwa na underdogs. Kenya licha ya kupata ushindi dhidi ya Tz nae anaondoka
 
Tz hata point hawana, lakini pia linaonekana ni kundi lililokuwa na underdogs. Kenya licha ya kupata ushindi dhidi ya Tz nae anaondoka
Cha muhumi ni sisi sote we have a long way to go lakini nyinyi mwapenda kupanga’nga sana mpira hauchezwi na mdomo na kama ingekuwa mdomo mwajua nyinyi mngeshinda world cup.
 
huyo chizi hajaelewa itabidi umwongeleshe kama mtoto ili ashikanishe namba. #lostcause
 
Uko sahihi mia mia
 
Nyinyi Kwanza mpande ndege sahii usiku ju hamna shugli ingine Egypt [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sahii tarehe ngapi za game kwanza kesho zinatoa maamuzi mrudi Kariobandi na Makadara
Mwajua sehumu nyingi za Kenya lakini siwezi kusema hivo kutuhusu. Hivyo ndivyo wajua ya kwamba wakenya wamewakaza akili.
 
Mwajua sehumu nyingi za Kenya lakini siwezi kusema hivo kutuhusu. Hivyo ndivyo wajua ya kwamba wakenya wamewakaza akili.
Siwezi kazwa akili na mkazi wa Lang'ata kama wewe
 
Endelea kutaja sehemu mbali mbali za kenya wacha niingie google kidogo kaa hapo mtoto wa mateja.
Tehetehetehe unafikiri natumia Google, mwenzio napafahamu mpaka mlipofugia Alshaba-- E3--
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…