Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi mlikazwa na algeria na kisha naskia hiyo timu ya algeria ilikuwa team B. Je kama ingekuwa timu A? Punguza gumzo kaka.Wapuuzi mliongea sana, leo mmepapaswa na Senegal *****
Sijaelewa hapo maelezo yako.By the way, Kenya anatakiwa aombee mechi zote mbili zinazohusisha #2,3 au 4 watoke sare. Bila hivo Kenya OUT
Afadhali sisi bado tuko na nafasi je nyinyi tuliwaondoa na mikono na miguu yetu.By the way, Kenya anatakiwa aombee mechi zote mbili zinazohusisha #2,3 au 4 watoke sare. Bila hivo Kenya OUT
Tz hata point hawana, lakini pia linaonekana ni kundi lililokuwa na underdogs. Kenya licha ya kupata ushindi dhidi ya Tz nae anaondoka
Tz hata point hawana, lakini pia linaonekana ni kundi lililokuwa na underdogs. Kenya licha ya kupata ushindi dhidi ya Tz nae anaondoka
Cha muhumi ni sisi sote we have a long way to go lakini nyinyi mwapenda kupanga’nga sana mpira hauchezwi na mdomo na kama ingekuwa mdomo mwajua nyinyi mngeshinda world cup.Tz hata point hawana, lakini pia linaonekana ni kundi lililokuwa na underdogs. Kenya licha ya kupata ushindi dhidi ya Tz nae anaondoka
huyo chizi hajaelewa itabidi umwongeleshe kama mtoto ili ashikanishe namba. #lostcauseSijaelewa hapo maelezo yako.
Ipo hivi.
Kenya ni nafasi ya nne sasa kwenye mshindi wa tatu.
Lakini Benin anapoint mbili na Angola anapoint mbili.
Benin atacheza na Cameroon.
Angola atacheza na Mali.
Hizi mechi mbili zikiisha kwa Benin na Angola kufungwa Kenya amepita.
Lakini hizi mechi mbili moja ikatoka draw Kenya hayupo...atatolewa na timu iliyotoa draw kwa idadi ya magoli ya kufungwa.
...got it?
Uko sahihi mia miaSijaelewa hapo maelezo yako.
Ipo hivi.
Kenya ni nafasi ya nne sasa kwenye mshindi wa tatu.
Lakini Benin anapoint mbili na Angola anapoint mbili.
Benin atacheza na Cameroon.
Angola atacheza na Mali.
Hizi mechi mbili zikiisha kwa Benin na Angola kufungwa Kenya amepita.
Lakini hizi mechi mbili moja ikatoka draw Kenya hayupo...atatolewa na timu iliyotoa draw kwa idadi ya magoli ya kufungwa.
...got it?
Hii tunapenya.All that Kenya needs is Mali to win or draw against Angola and Cameroon to win or draw against Benin and then we are free.
Nyinyi Kwanza mpande ndege sahii usiku ju hamna shugli ingine Egypt [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma
#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................
Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
Huyo jamaa juu yako is obsessed with Kenyans losing man mwambie its not healthy its as if Kenya loses Tanzania succeeds (fucked up mentality)Hii tunapenya.
Tamam na mlipokuwa misri mlifirwa na timu zote unaskiaje?Objective yetu kwenda kuosha macho Misri na kweli tumequalify fullstop
Mwajua sehumu nyingi za Kenya lakini siwezi kusema hivo kutuhusu. Hivyo ndivyo wajua ya kwamba wakenya wamewakaza akili.Sahii tarehe ngapi za game kwanza kesho zinatoa maamuzi mrudi Kariobandi na Makadara
Endelea kutaja sehemu mbali mbali za kenya wacha niingie google kidogo kaa hapo mtoto wa mateja.Siwezi kazwa akili na mkazi wa Lang'ata kama wewe