Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Sina uhakika kama hao wanaopiga watu huwa ni askari wa kawaida#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Huwa wanaaminishwa kwamba upolisi ni kutumia maguvu mengi sana na kuonesha ubedui! It is psychological!Hawa watakuwa ni hawa polisi wasiokuw na elimu
siungi huu ujinga japokuwa kuna mambo pia cha chadema hawayafanyi kama watu wenye akili,
Ila kwa hili la polisi kufika na kuanza kupiga watu hovyo ni upuuzi wa khar ya juu wala hauvumiliki...
Jeshi la polisi kila mara hutumia nguvu kubwa sana kukamata raia na kuwatesa..
Nishashuhudia,hata ukikamatwa ukapeleka kituoni wanakutreatas uf hauna haki yoyote...
#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Mungu ibariki Chadema#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
tutaamini vipi kama ulichoandika ni kweli, sababu "makamanda" mna taaluma za kutengeneza matukio.#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭